EFL CUP: KUTOSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA KWADHIATHIRI CHELSEA NA LIVERPOOL SASA KUCHEZA NA VIBONDE KUTINGA HATUA YA TATU

Michuano ya kombe la ligi nchini England zamani likijulikana kama Capital One Cup ambayo hushirikisha timu 92 inaingia katika hatua ya pili huku Chelsea na Liverpool wakichomoza katika hatua hii.



Michuano hiyo ambayo kwasasa itajulikana kama EFL (English Football League) baada ya kujitoa kwa wadhamini Capital One ambao walikua wakiidhamini Kwa miaka minne.

Manchester City ambao ni mabingwa watetezi pamoja na timu zinazoshiriki katika michuano ya Ulaya wao wataanzia hatua ya tatu ya michuano hiyo lakini Chelsea na Liverpool ambao wameshindwa kushiriki katika michuano ya Ulaya msimu huu wao wamepangwa kuanza katika hatua ya pili ambayo ratiba yake imetoka na mpangilio wa mechi ni kama ifuatavyo

  • QPR v Rochdale
  • Scunthorpe v Cardiff/Bristol City* 
  • Watford v Gillingham
  • Peterborough v Swansea
  • Everton v Yeovil
  • Millwall v Nottingham Forest
  • Sunderland v Shrewsbury
  • Luton v Leeds
  • Chelsea v Bristol Rovers/Bristol City* 
  • Burton v Liverpool
  • Blackburn v Crewe
  • Accrington v Burnley
  • Crystal Palace v Blackpool
  • Morecambe v Bournemouth
  • Preston v Oldham
  • Oxford v Brighton
  • Reading v MK Dons
  • Fulham v Middlesbrough
  • Newcastle v Cheltenham
  • Exeter v Hull
  • Derby v Carlisle
  • Northampton v West Brom
  • Wolves v Cambridge
  • Stevenage v Stoke
  • Norwich v Coventry

NOTE: Mechi za hizi zitachezwa katika wiki inayoanza tarehe 22.

No comments

Powered by Blogger.