CLAUDIO BRAVO ATUA MANCHESTER TAYARI KUJIUNGA NA MAN CITY
Kipa namba moja wa Barcelona Claudio Bravo amewasili jijini Manchester tayari kwaajili ya kukamilisha uhamisho wake kwenda Manchester City.
Tayari kocha Pep Guadiola alishaweka wazi ujio wa kipa huyo huku kiasi cha paundi milioni 17 kikitajwa kama ada ya uhamisho ya kipa huyo toka Barcelona.
Kuwasili kwa Bravo kutamfanya Joe Hart kuwa chaguo la tatu katika kikosi cha kocha Pep Guadiola baada ya Willy Caballero kuchukua nafasi ya kwanza tangu mechi ya kwanza msimu huu.

No comments