BAADA YA KUKUBALI MABADILIKO JANA, SIMBA YAGONGA HODI KWA MO AWASAIDIE KUSAJILI

Uongozi wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam umemwandikia barua Mkurugenzi mkuu wa makampuni ya Mohamed Enterprises mheshimiwa Mohamed Dewji Maarufu kama Mo.


Lengo la barua hiyo ambayo WapendaSoka ilikamata nakala yake ni kumwelezea kwamba wameridhia Ombi lake la kutaka kuwekeza katika ndani ya Simba.

Katika barua hiyo ambayo imesainiwa na Katibu Mkuu wake Patrick Kahemele imemwomba MO awasaidie kukamilisha usajili wa wachezaji wa kigeni ambao fedha za kuwalipa zilikua ndiyo tatizo.

Waweza kuisoma barua hiyo hapa

No comments

Powered by Blogger.