ZIDANE AMTAKA ALABA, BAYERN MUNICH WAWEKA UGUMU
Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wamemweka beki wa pembeni wa Bayern Munich David Alaba kama mchezaji wa kwanza wanayemtaka kumsajili kwaajili ya msimu ujao.
Vyanzo vya habari nchini Spain vinasema ofa ya paundi milioni 38 ambayo Real Madrid waliipeleka Bayern Munich ilikataliwa na inasemekana Bayern wanataka paundi milioni 62 kumwachia.
Mtendaji wa Real Madrid Jose Angel Sanchez alikuwa na kikao na Baba yake Alaba George ambaye ndiye wakala wake kuhusu uhamisho huo lakini Bayern Munich ambao ni mabingwa wa Ujerumani hawataki kuona dili hilo linafanikiwa.
Alaba yuko katika maandalizi ya mwisho kuelekea katika michuano ya Ulaya Euro 2016 akiwa na kikosi cha timu yake ya taifa ya Austria.

No comments