WACHEZAJI BAYERN MUNICH WATAWALA KIKOSI CHA BUNDESLIGA KWA MSIMU ULIOPITA

Msimu wa 2015/16 katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga umemalizika kwa Bayern Munich kutetea ubingwa wao na hii hapa ndiyo orodha kamili ya wachezaji kikosi bora kabisa cha msimu mzima wa Bundesliga.



Kipa: Manuel Neuer (Bayern Munich)

Mabeki:
Mats Hummels (Bayern Munich), Jerome Boateng (Bayern Munich), David Alaba (Bayern Munich), Philipp Lahm (Bayern Munich)

VViungo
 Thomas Müller (Bayern Munich), Henrikh Mkhitaryan (Dortmund), Douglas Costa (Bayern Munich), Arturo Vidal (Bayern Munich)

Washambuliaji:
Robert Lewandowski (Bayern Munich), Pierre-Emerick Aubameyang (Dortmund)


No comments

Powered by Blogger.