RYAN GIGGS ATAJWA WANAOWANIA KUINOA NOTTINGHAM FOREST

Taarifa mbalimbali zilizosambaa katika vyombo kadhaa vya habari nchini England vinamtaja lejendari wa Manchester United ambaye ni kocha msaidizi wa klabu hiyo Ryan Giggs katika nafasi ya ukocha wa klabu ya Nottingham Forest job.



Klabu hiyo inayoshiriki katika daraja la Championship inasaka mtu sahihi wa kuchukua nafasi ya Dougie Freedman aliyetimuliwa mwezi March.

Baada ya kuwasili kwa Jose Mourinho Giggs ameonekana kwamba hana tena nafasi chbi ya utawala wa Mourinho na njia pekee ni kutafuta kwanza maisha sehemu nyingine.

No comments

Powered by Blogger.