HIKI NDICHO KIKOSI CHA TAIFA STARS DHIDI YA MISRI LEO

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ameweka wazi kikosi chake kitakachocheza na Misri leo akimweka mshambuliaji wa Stand United Elias Maguri kama mshambuliaji pekee pale mbele.




Maguli atakua akisaidiwa na wachezaji watatu katika mfumo wa 4-2-3-1 ambao ni Nahodha Mbwana Samata akicheza kati kati pembeni yuko Farid Musa na Thomas Ulimwengu.

Dimba la kati yuko kiungo mkabaji Himid Mao akisaidiana na kiungo mshambuliaji Mwinyi Kazimoto.

Mabeki wa kati ni Aggrey Moris na Erasto Nyoni wakisaidiwa na Juma Abdul na Mwinyi Haji wanaocheza mabeki wa pembeni na golini yuko Deogratias Munishi Dida.

HIKI NDICHO KIKOSI KAMILI

 1.Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Erasto Nyoni
5. Aggrey Morris
6. Himid Mao
7. Thomas Ulimwenge
8. Mwinyi Kazimoto
9. Elius Maguri
10. Mbwana Samatta
11. Farid Mussa

AKIBA

1. Aishi Manula
2. David Mwantika
3. Mohammed Hussein
4. Shiza Kichuya
5. Jonas Mkude
6. John Bocco
7. Deus Kaseke

No comments

Powered by Blogger.