GERALD PIQUE AIBEBA SPAIN DHIDI YA CZECH (+VIDEO HIGHLIGHTS )
Mabingwa watetezi wa michuano ya Euro 2016 timu ya Taifa ya Spain I mean za kampeni za kutetea taji hilo kwa ushindi wa bao 1-0 wakiifunga timu ya Taifa ya Czech Republic.
Goli pekee la Spain lilifungwa na mlinzi Gerald Pique kwa kichwa akiunganisha mpira wa Andreas Iniesta
Tumekuwekea hapa highlights za mechi hiyo
Goli pekee la Spain lilifungwa na mlinzi Gerald Pique kwa kichwa akiunganisha mpira wa Andreas Iniesta
Tumekuwekea hapa highlights za mechi hiyo
No comments