ITALIA YAIFUNDISHA SOKA UBELGIJI, SWEDEN NA IRELAND HAKUNA MBABE

Ubelgiji Imeanza vibaya michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa kwa kufungwa bao 2-0 na Italia katika mechi ya awali ya Kundi E.


Licha ya kiwango bora ilichokionyesha Ubelgiji ikiwa na mastaa wake wote ilishindwa kabisa kuwazuia Italia kufunga na kupelekea kupoteza mchezo huo.

Magoli ya Italia yalifungwa na  Emmanuel Giacherin na Graziano Pelle na katika mechi ya awali ya Kundi hilo la E Sweden ilitoshana nguvu na sare ya kufungana bao 1-1

HIGHLIGHTS ZA MICHEZO YA KUNDI E

ITALIA 2-0 UBELGIJI



SWEDEN 1-1 IRELAND


No comments

Powered by Blogger.