EURO 2016: ENGLAND KIDUME YAICHAPA WALES NA KUFUFUA MATUMAINI YA KUTINGA ROBO FAINALI

Mchezo wa Kundi A ya michuano ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa baina ya ndugu wawili England na Wales umemalizika kwa England kupata ushindi wa bao 2-1




Gareth Bale alitangulia kuipatia Wales bao la kwanza kwa njia ya mpira wa adhabu ndogo umbali wa mita zaidi ya 30 mpira uliomshinda kipa Joe Hart na kuzama kimiani goli lililodumu mpaka mapumziko

Kipindi cha pili kilikua na neema kwa England baada ya kujipatia bao hizo 2 ikiwa ni matokeo ya mabaodiliko  yaliyofanywa na kocha Roy Hodgson akiwatoa Adam Lallana na nafasi yake kuchukuliwa na Marcus Rushford, Raheem Sterling nafasi yake ikachukuliwa Daniel Sturadge huku Jamie Vardy akichukua nafasi ya Harry Kane

Magoli ya England yalifungwa na Jamie Vardy na Daniel Sturadge mara tu baada ya kuingia na kuifanya England kuongoza katika Kundi B.

No comments

Powered by Blogger.