BEKI LIVERPOOL ANATAKIWA HARAKA FENERBAHĆE YA UTURUKI

Taarifa zinasema kwamba Mlinzi wa klabu ya Liverpool Martin Skrtel atajiunga na Fenerbahce ya Uturuki kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 5.5


Beki huyo wa kimataifa wa Slovakia amekua akihusishwa pia na Besiktas,Wolfsburg na China ila sasa yako tayari kuiunga na Fernabahce baada ya wa kaka wake kukubaliana na timu hiyo kuhusu uhamisho wake toka Liverpool kinachosubiriwa ni yeye kumaliza majukumu ya timu ya Taifa.

Skrtel mwenye miaka 31 amekua sio chaguo la kocha Jurgen Klopp akiwatumia zaidi  Dejan Lovren na Mamadou Sakho.


No comments

Powered by Blogger.