UCL LEO : BAYERN MUNICH WANA KAZI KUBWA KUITOA ATLETICO MADRID
Mechi ya marudiano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya hatua ya nusu fainali baina ya wenyeji Bayern Munich ya Ujerumani na Atletico Madrid ya Spain inatarajiwa kuchezwa leo katika dimba la Allianz Arena jijini Munich Ujerumani.
Bayern itahitaji kushinda si chini ya goli mbili leo huku wakiombea Atletico Madrid wasipate bao ili kutinga fainali baadae mwezi huu kule Milan Italia.
Atletico Madrid wataingia katika mchezo wa leo wakiwa na kumbukumbu nzuri kabisa ya ushindi wa bao 1-0 ushindi walioupata katika mechi ya awali katika dimba La Vicente Calderón jijini Madrid ambapo leo watahitaji sare ya aina yoyote au ushindi ili kutinga katika hatua ya fainali.
Wakati Bayern Munich wakikabiliwa na majeruhi Atletico Madrid wao wako fiti na hata Diego Godin aliyekosa pambano lililopita kule Madrid.

No comments