SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCELONA WAKIKABIDHIWA KOMBE
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay anayekipiga katika klabu ya Barcelona ya Hispania Luis Suarez leo alipiga bao zote tatu ugenini wakati Barcelona wakiichakaza Granada na kukabidhiwa kombe wakitawazwa kampa mabingwa wa mwaka 2005/2016.
Suarez ambaye ndiye mfungaji bora msimu huu baada ya kufikisha bao 40 katika ligi msimu huu akimwacha Cristiano Ronaldo na bao zake 35.
Suarez alifunga bao mbili kipindi cha kwanza na moja kipindi cha pili ushindi ambao uliambatana na kutawazwa kuwa mabingwa kwa mara ya pili mfululizo wakifikisha pointi 91 na wakifatiwa na Real Madrid wenye pointi 90.
Katika mchezo mwingine Ronaldo aliiongoza Real Madrid kuifunga Deportivo La Coruña bao 2-0 magoli yote yakifungwa na Ronaldo kipindi cha kwanza.

No comments