MABINGWA LEICESTER CITY WAKABIDHIWA KOMBE KWA USHINDI
Mabingwa wapya wa ligi kuu ya England klabu ya Leicester city wamekabidhiwa kombe jioni hii katika mechi yao ya mwisho nyumbani kabla ya kumalizika msimu huu dhidi ya Everton.
Sherehe za ubingwa zilinogeshwa na ushindi walioupata katika pambano hilo wakishinda bao 3-1 huku Jermie Vardy akionyesha umahiri wake wa kufunga akifunga bao 2 kati ya bao hizo 3 huku bao lingine likifungwa na Andy King wakati Kevin Mirallas alifunga bao la kufutia machozi kwa Everton.
Huu ni ubingwa wa kwanza kwa klabu hiyo tangu kuanzishwa kwa ligi kuu nchini England.
HONGERA SANA LEICESTER CITY
HONGERA SANA MASHABIKI WAO
MLISTAHILI MSIMU HUU

No comments