LICHA YA KUTWAA UBINGWA YANGA YAENDELEA KUGAWA DOZI LIGI KUU
Mabingwa wa Ligi ya Tanzania bara Yanga wameendeleza wimbi La ushindi katika mechi zake za ligi kuu ya Tanzania bara licha ya kutwaa ubingwa tayari.
Ikiwa jijini Mbeya Yanga iliwalaza wenyeji Mbeya City kwa bao 2-0 katika pambano lililoteka mashabiki wengi wa soka wa jiji la Mbeya na viunga Vyake.
Vicent Bossou na Amiss Tambwe walikua mashujaa wa Yanga leo wakifunga mabao hayo ya Yanga moja kila kipindi na kuihakikishia Yanga pointi 3 za heshima.
Tayari Yanga wameshatangazwa mabingwa wakitetea ubingwa wao walioutwaa msimu uliopita wakitarajiwa kukabidhiwa kombe lao katika mechi dhidi ya Ndanda FC jijini Dar es salaam.

No comments