KUELEKEA EURO 2016 : SCHWEINSTEIGER NA PODOLSKI NDANI KIKOSI CHA UJERUMANI
Licha ya majeruhi Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger amejumuishwa katika kikosi cha Wachezaji 27 kilichotangazwa na kocha mkuu wa Ujerumani leo tayari kwaajili ya fainali za kombe la Mataifa ya Ulaya Euro 2016.
Katika kikosi hicho yuko pia mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Anayeichezea Galatasaray ya Uturuki Lukas Podolski
HIKI ndicho kikosi kamili cha mabingwa hao wa dunia
Makipa:
Manuel Neuer (Bayern Munich), Bernd Leno (Bayer Leverkusen), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
Mabeki:
Jerome Boateng (Bayern Munich), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Emre Can (Liverpool), Jonas Hector (Cologne), Benedikt Howedes (Schalke), Shkodran Mustafi (Valencia), Sebastian Rudy (Hoffenheim), Antonio Rudiger (Roma)
Viungo:
Mario Gotze (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Sami Khedira (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid), Karim Bellarabi (Bayer Leverkusen), Julian Brandt (Bayer Leverkusen), Julian Draxler (Wolfsburg), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Bastian Schweinsteiger (Manchester United), Julian Weigl (Borussia Dortmund)
Washambuliaji :
Thomas Muller (Bayern Munich), Andre Schurrle (Wolfsburg), Lukas Podolski (Galatasaray), Mario Gomez (Besiktas), Marco Reus (Borussia Dortmund), Leroy Sane (Schalke)

No comments