ARSENAL YAPOTEZA UBINGWA WA EUROPA MWAKA 2000 NA LIGI YA MABINGWA ULAYA MWAKA 2006..
Pengine historia ya tarehe kama ya leo mzee Arsene Wenger ambaye ni kocha mkuu wa Arsenal na mashabiki wengi kama sio wote wa Arsenal wangependa kuikumvuka.
Kwani Leo katika historia kimataifa tunakumbuka tarehe kama ya leo miaka miwili tofauti yani tarehe 17 Mei 2000 wakati kikosi cha Arsenal chini ya Arsene Wenger kilipopoteza mchezo wa fainali ya Europa League na tarehe 17 Mei 2006 wakati Kikosi cha Wenger kilipopoteza pia mchezo wa fainali ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Tukianza na May 2000, Arsenal ilipoteza mchezo wa fainali ya michuano ya Europa league dhidi ya Galatasaray ya Uturuki kwa changamoto ya Mikwaju ya penati 4-1.
Timu zote hizo zilikua na wakali wa kuzifumania nyavu Thierry Henry,Denis Bergkamp na Davor Suker kwa upande wa Arsenal wakati Galatasaray walikuwa na Hakan Şükür na Gheorghe Hagi ambao hawakucheza kufunga bao lolote mpaka mwisho wa mchezo ndipo Mikwaju ya penati ikatumika kuamua na Arsenal kupoteza mchezo huo.
VIKOSI VILIKUA HIVI
Galatasaray:
Taffarel, Penbe, Capone, Popescu, Bulent, K. Suat, Hagi, Davala, Okan, Erdem, Sukur.
Akiba: Inan, Akyel, Ahmet, Mehmet, Hasan, Hakan, Marcio.
Arsenal:
Seaman, Dixon, Silvinho, Keown, Adams, Vieira, Petit, Overmars, Parlour, Bergkamp, Henry.
Akiba: Lukic, Winterburn, Suker, Grimandi, Malz, Luzhny, Kanu. Referee: Antonio Nieto (Spain)
++++++++++++
Miaka 6 baadae yani mwaka 2006 Tarehe kama ya Leo Arsenal wanapata nafasi ya kucheza fainali na safari ikiwa ni fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya Barcelona wakifungwa bao 2-1
Beki Sol Campbel alitangulia kuifungia Arsenal kabla ya Samuel Eto'o hajaisawazishia Barcelona kisha Belletti akafunga bao la ushindi zikiwa zimebaki dakika 10 mpira kumalizika katika mechi ambayo Arsenal Ilicheza ikiwa pungufu kwa muda mwingi wa mchezo baada ya kipa Jens Lehman kutolewa kwa kadi nyekundu na nafasi yake kuchukuliwa na Manuel Almunia.
VIKOSI VILIKUA HIVI
Barcelona:
Valdes, Oleguer (Belletti 71), Marquez, Puyol, Van Bronckhorst, Deco, Edmilson (Iniesta 45), Van Bommel (Larsson 61), Giuly, Eto'o, Ronaldinho.
Wachezaji wa Akiba ambao hawakutumika : Jorquera, Motta, Xavi, Sylvinho.
Arsenal:
Lehmann, Eboue, Toure, Campbell, Cole, Pires (Almunia 20), Silva, Fabregas (Flamini 74), Hleb (Reyes 85), Ljungberg, Henry.
Wachezaji wa Akiba ambao hawakutumika : Bergkamp, Van Persie, Senderos, Clichy.
Watazamaji : 79,500
Refa: Terje Hauge (Norway)

No comments