KUELEKEA EURO 2016 : DIEGO COSTA, CARZOLA ,TORRES NA JUAN MATA WAACHWA KATIKA KIKOSI CHA SPAIN
Kocha wa Spain Vicente Del Bosque ametangaza kikosi cha Wachezaji 25 kitakachokuwa na jukumu la kuiwakilisha Spain katika michuano hiyo itakayoanza Juni 10 mwaka huu huko Ufaransa.
Kikosi kamili cha Spain kilichotangazwa na kocha huyo kimewaacha Nyota kadhaa akiwemo Diego Costa wa Chelsea, Juan Mata wa Manchester United, Fernando Torres na Santiago Carzola wa Arsenal.
Spain iko kundi moja na Jamhuri ya Czech, Uturuki na Croatia.
Makipa:
Iker Casillas (Porto), David De Gea (Manchester United), Sergio Rico (Sevilla)
Mabeki:
Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Dani Carvajal (Real Madrid), Jordi Alba (Barcelona), Marc Bartra (Barcelona), Cesar Azpilicueta (Chelsea), Mikel San Jose (Athletic Bilbao), Juanfran (Atletico Madrid)
Viungo:
Bruno Soriano (Villarreal), Sergio Busquets (Barcelona), Koke (Atletico Madrid), Thiago Alcantara (Bayern Munich), Andres Iniesta (Barcelona), Isco (Real Madrid), David Silva (Manchester City), Pedro Rodriguez (Chelsea), Cesc Fabregas (Chelsea), Saul Niguez (Atletico Madrid)
Washambuliaji :
Aritz Aduriz (Athletic Bilbao), Nolito (Celta Vigo), Alvaro Morata (Juventus), Lucas Vazquez (Real Madrid)

No comments