BILA NGOMA NA KAMUSOKO BADO YANGA HATARI, YAWALIZA WAANGOLA TAIFA
Wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika michuano ya kimataifa Yanga imeilaza Sagrada Esperanga ya Angola bao 2-0.
Mchezo huo wa kombe La Shirikisho barani Africa hatua ya mtoano ulipigwa katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam
Yanga ilipata mabao yake kipindi cha pili kupitia kwa Simon Msuva na Mateo Antony.
Kwa ushindi huo sasa Yanga wanahitaji Sare tu kutinga hatua inayofata mchezo wa marudiano utapigwa wiki ijayo.
Vikosi
Yanga;
Deo Munishi ‘Dida’, Juma Abdul, Oscar Joshua, Kevin Yondan, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Salum Telela/Mbuyu Twite dk46, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Malimi Busungu/Godfrey Mwashiuya dk53, Amissi Tambwe na Deus Kaseke/Matheo Anthony dk77.
Sagrada Esperanca;
Yuri JKose Tavazes, Roadro Juan da Semero/Paul Camufingo dk64, Dennis Conha Morais, Asenio Cabungula, Antonio da Silva Oliveira/Evanildo de Jesus Pedro dk64, Ntaku Zabakaka, Manuel Paulo Joao, Alentua Tangala Rolli, Osvaldochitumba Palana/Aderito Chosolla dk80, Manuel Sallo Conha na Antonio Kasule.

No comments