BAO LA HAZARD LAIPA UBINGWA LEICESTER CITY
Mbio za Tottenham Hotspurs kuchukua ubingwa wa England msimu huu ziliishia jana usiku baada ya kutoka Sare ya bao 2-2 na waliokua mabingwa watetezi Chelsea.
Tottenham Hotspurs ambao walitakiwa kushinda Mechi ya jana ili kuwazuia Leicester City Waliokua wanahitaji pointi 2 tu kushinda ubingwa wa ligi kuu nchini England msimu huu
Mpaka mapumziko tayari kila mmoja alishaamini kwamba Spurs watafanikiwa lengo lao la kupata ushindi kwani walikua wakiongoza kwa bao 2-0 magoli ya Harry
Hali ilikamilika kipindi cha pili baada ya Chelsea kukataa kudhalilishwa nyumbani na kusawazisha magoli hayo mawili la kwanza likifungwa na Gary Cahil kisha Eden Hazard akafunga bao la ushindi ambalo hasa ndiyo lililowapa ubingwa Leicester City na kufuta kabisa matumaini ya Tottenham.
Tumekuwekea hapa highlights za mchezo huo kama hukupata muda wa kuangalia

No comments