Real Madrid ambao jana walinyakua ubingwa wao wa 11 katika historia ya ligi ya mabingwa barani Ulaya wamepokelewa kwa gwaride maalumu walipowasili jijini Madrid wakitokea Milan Italia. Hizi hapa picha za matukio jijini Madrid leo
No comments