Cristiano Ronaldo jana alifunga bao muhimu na kuiwezesha Real Madrid kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mechi ya El Clasico nchini Spain. Kama ilivyo kawaida ya Wapenda Soka blog tumekuwekea highlights za mechi hiyo Enjoy
No comments