RONALDO NA BENZEMA WAIONGOZA BBC YA REAL MADRID KUIANGAMIZA BARCELONA NA MSN YAO
Ule muungano wa safu ya Ushambuliaji ya Real Madrid unaojulikana kama BBC ukiwajumuisha Gareth Bale, Karim Benzema na Cristiano Ronaldo leo umeifunika kabisa kambi ya Barcelona Nou Camp iliyoongozwa na MSN (Messi,Suarez na Neymar )
Real Madrid imeshinda mechi hiyo ya El Clasico katika dimba la Nou Camp kwa ushindi wa bao 2-1 huku Benzema akifunga bao la kwanza ambalo lilikua bao la kusawazisha baada ya Barcelona kutangulia kufunga kupitia kwa Gerald Pique kwa kichwa.
Gareth Bale yeye alikua na jukumu moja tu la kusaidia upatikanaji wa bao la pili kwa kumtengenezea Cristiano Ronaldo ambaye shuti lake lilimpita tobo kipa wa Barcelona Raul Bravo na kufanya use muungano wa BBC kumalizikia kabisa mchezo huo.
Licha ya kosakosa za hapa na pale mpaka mapumziko hakuna timu iliyofanikiwa kufunga bao huku Luis Suarez wa Barcelona na Karim Benzema wakikosa nafasi za wazi Kipindi hicho.
Mlinzi Sergio Ramos Real Madrid alitolewa nje zikiwa zimebaki dakika cache mpira kumalizikia baada ya kumchezea vibaya Luis Suarez na kwa kiwango kikubwa kocha Zinedine Zidane alifanikiwa kuwamiliki vilivyo Barcelona.

No comments