YANGA YAHITAJI SARE TU KUWAONDOA APR YA RWANDA MABINGWA AFRIKA
Mabingwa wa soka nchini klabu ya Yanga SC leo itaingia uwanja wa Taifa Dar es Salam kuwaalika mabingwa wa Rwanda Wanajeshi wa APR katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Africa hatua ya kwanza.
Yanga watahitaji sare tu leo kuweza kuwatupa nje wanyarwanda hao baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mechi ya awali kule Kigali ambapo Juma Abdul na Thaban Kamusoko waliifunga Yanga mabao hayo mawili.
Mchezo wa leo ni muhimu kuhakikisha mabingwa hao wa Tanzania wanasonga mbele hivyo ni wajibu wetu Wapenda Soka kuiunga mkono Yanga kwa kujitokeza kwa wingi kuishangilia.

No comments