BENTEKE AIBEBA LIVERPOOL KUPATA USHINDI WA "JIONI"
Christian Benteke ameibuka shujaa wa Liverpool baada ya kuingia na kufunga goli la ushindi wakati Liverpool wakitoka nyuma na kuitandika Crystal Palace bao 2-1.

Benteke aliingia dakika ya 80 kuchukua nafasi ya Divock Origi wakati huo ubao ukisomeka bao 1-1 baada ya Joe Ledley kutangulia kufunga kisha Roberto Firminho kuisawazishia Liverpool na dakika ya 90 Makosa ya beki wa Palace Damien Delaney kumwangusha Benteke katika eneo la hatari yalipelekea Liverpool kupata pwnati ambayo ilifungwa na Benteke mwenyewe.
Katika mechi hiyo Liverpool iliwabidi kumaliza pungufu baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu James Milner.

No comments