BARCELONA YAPUNGUZWA KASI NA VILLARREAL

Mabingwa watetezi wa La Liga klabu ya Barcelona imepunguzwa kasi na Wenyeji Villareal kwa kulamishwa Sare ya bao 2-2.




Barcelona ambao ni vinara wa msimamo wa ligi hiyo walitangulia kupata mabao mawili kipindi cha kwanza Shukrani kwa magoli ya Ivan Rakitic na Neymar kabla ya Villareal kucharuka na kurudisha magoli yote mawili Cedric Bakambu akifunga bao la kwanza huku mlinzi wa Barcelona Jeremy Mathieu akijifunga katika harakati za kuokoa.


MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO 

  • Espanyol 2-1 Athletic Bilbao 
  • Villarreal 2-2 Barcelona
  • Valencia 0-2 Celta Vigo 
  • Real Madrid 4-0 Sevilla 

Tumekuwekea hapa highlights za mchezo wa Barcelona


No comments

Powered by Blogger.