WACHEZAJI HAWA NDIYO WALIOSAJILIWA/ KUACHWA KATIKA USAJILI WA JANUARI PALE ENGLAND

Wakati dirisha dogo la usajili wa Januari nchini England likifungwa usiku wa saa 8 kwa saa za Afrika Mashariki siku ya tarehe 1 February   yani Jumatatu


Aston Villa na Manchester United havikusajili mchezaji yoyote mwezi huo wa Januari huku Stoke City ikitumia pesa nyingi kujiimarisha.




Tumekuandalia orodha ya wachezaji wote waliosajiliwa,kuhama au kuuzwa mwezi huu Mpaka usajili unafungwa kwa kila klabu ya Ligi kuu nchini England.

ARSENAL 

Walioingia
Mohamed Elneny - Basel, £5m

Waliotoka
 Mathieu Debuchy - Bordeaux, (Mkopo)
 Glen Kamara - Southend, (Mkopo)

ASTON VILLA 

Walioingia
Hakuna

Waliotoka
Callum Robinson - Preston (mkopo)
Joe Cole - Coventry, (bure)
Gary Gardner - Nottingham Forest, (mkopo)
Joe Bennett - Sheffield Wednesday, (Mkopo)
Jose Angel Crespo - Rayo Vallecano,(Mkopo)
 Philippe Senderos - (Ameachwa)

 BOURNEMOUTH 

Walioingia
Juan Iturbe - Roma (Mkopo)
Benik Afobe - Wolves, £10m
 Lewis Grabban - Norwich, £7m
Marius Adamonis - Atlantas,(Mkopo)
Rhoys Wiggins - Sheffield Wednesday, £200,000

Waliotoka
Jayden Stockley - Exeter (Mkopo)
Elliott Ward - Blackburn, (Haijawekwa wazi)
Yann Kermorgant - Reading, (Haijawekwa wazi)
 Lee Tomlin, Bristol City, (Mkopo)

CHELSEA

Walioingia
 Alexandre Pato - Corinthians,(mkopo)
 Matt Miazga - New York Red Bulls

Waliotoka

Ramires - Jiangsu Suning, (Haijawekwa wazi)
 Papy Djilobodji - Werder Bremen, (mkopo)
 Alex Kiwomya - Fleetwood,(Mkopo)
 Charly Musonda - Real Betis, (Mkopo)
 Patrick Bamford - Norwich (Mkopo)
 Christian Atsu - Malaga (Mkopo)
 Mitchell Beeney - Newport, (Mkopo)

CRYSTAL PALACE 


Walioingia
Emmanuel Adebayor - (Huru)
 Randall Williams - Tower Hamlets, (Haijawekwa wazi)

Waliotoka
Jack Hunt - Sheffield Wednesday (Haijawekwa wazi)
 Jonny Williams - MK Dons,(Mkopo)

 EVERTON 

Walioingia
Oumar Niasse - Lokomotiv Moscow, £13.5m Shani Tarashaj - Grasshoppers Zurich, £3m Matty Foulds - Bury, (Haijawekwa wazi)
Jerome Binnom-Williams - Leyton Orient, (Mkopo)

Waliotoka
Shani Tarashaj - Grasshoppers Zurich, (Mkopo) Steven Naismith - Norwich, £8.5m
Liam Walsh - Yeovil, (Mkopo)
 Jonjoe Kenny - Oxford Utd (Mkopo)
 Aiden McGeady, Sheffield Wednesday (Mkopo)

 LEICESTER CITY

Walioingia
Demarai Gray - Birmingham, £3.75m
Daniel Amartey - FC Copenhagen, £5m
Daniel Iversen - Esbjerg, £200,000

Waliotoka
Andrej Kramaric - Hoffenheim (Mkopo)
Joe Davis - Fleetwood, (Haijawekwa wazi)
Jak McCourt - Barnsley, (Haijawekwa wazi)
Alie Sesay - Barnet, (Haijawekwa wazi)
Joe Davis - Fleetwood, (Haijawekwa wazi)
 Tom Lawrence - Cardiff, (Mkopo)

 MANCHESTER UNITED 

Walioingia - Hakuna

Waliotoka

Victor Valdes - Standard Liege, (Mkopo)
Ashley Fletcher - Barnsley, (Mkopo)
Ben Pearson - Preston, (Haijawekwa wazi)
 Liam Grimshaw - Preston, (Haijawekwa wazi)

 NEWCASTLE UNITED


Walioingia
Henri Saivet - Bordeaux, £5m
Jonjo Shelvey - Swansea, £12m
Andros Townsend - Tottenham, £12m
Seydou Doumbia, CSKA Moscow, (Mkopo)

Waliotoka
Mike Williamson - Wolves, £200,000
Shane Ferguson - Millwall, (Haijawekwa wazi)
 Florian Thauvin - Marseille, Mkopi
 Gael Bigirimana - Coventry, Mkopo
Kyle Cameron - York, (Mkopo)

 NORWICH CITY

Walioingia

 Steven Naismtih - Everton, £8.5m
Timm Klose - Wolfsburg, £7.6m
Patrick Bamford - Chelsea, (Mkopo)
 Ivo Pinto - Dinamo Zagreb, (Haijawekwa wazi)
 Matt Jarvis - West Ham, £2.5m
 Ben Godfrey - York City, (Haijawekwa wazi)
 Ebou Adams - Dartford, (Haijawekwa wazi)
 James Maddison, Coventry, (Haijawekwa wazi)

Waliotoka

 Out Elliott Bennett - Blackburn Rovers, (Haijawekwa wazi)
 Lewis Grabban - Bournemouth, £7m
Conor McGrandles - Falkirk, (Mkopo)
 Gary Hooper - Sheffield Wednesday, (Haijawekwa wazi)
 Harry Toffolo - Peterborough, (Mkopo) Jake Kean - Colchester, Loan Jamar Loza - Southend, Loan James Maddison, Coventry, Loan

 SOUTHAMPTON

Walioingia
 Charlie Austin - QPR, £4m

Waliotoka
 Sam McQueen - Southend, (Mkopo)

STOKE CITY 


Walioingia
Giannelli Imbula - Porto, £18.3m

Waliotoka
Steve Sidwell - Brighton, (mkopo)
 Eddy Lecygne - Doncaster, (Mkopo)

 SUNDERLAND 

 Lamine Kone - Lorient, £5m
Dame N'Doye - Trabzonspor, (Mkopo)
Jan Kirchhoff - Bayern Munich, (Haijawekwa wazi)
 Steve Harper - Huru

Waliotoka
 Steven Fletcher - Marseille, (mkopo)
 Costel Pantilimon - Watford, (Haijawekwa wazi)
 Will Buckley - Birmingham, (Mkopo)
 Danny Graham - Blackburn, (Mkopo)
 Lynden Gooch - Doncaster, (Mkopo)
 Charis Mavrias - Fortuna Dusseldorf, (Mkopo)
 Sebastian Coates - Sporting Lisbon, (Mkopo)


 SWANSEA CITY

Walioingia
 Alberto Paloschi - Chievo, £8m
Leroy Fer - QPR, (Mkopo)
 Ryan Blair - Falkirk, Undisclosed Out Jonjo Shelvey - Newcastle, £12m Eder - Lille, Loan Dan Alfei - Mansfield, Loan

TOTTENHAM HOTSPURS

Shilow Tracey - Ebbsfleet, (Haijawekwa wazi)

Waliotoka
 Andros Townsend - Newcastle, £12m
 Kenny McEvoy - Ameachwa
 Shaquile Coulthirst - Peterborough, (Haijawekwa wazi)
 Federico Fazio - Sevilla, (Mkopo)
Milos Veljkovic - Werder Bremen, (Haijawekwa wazi)
 Alex Pritchard - West Brom, (Mkopo)

 WATFORD 

Walioingia
Abdoulaye Doucoure - Rennes, £8m
Costel Pantilimon - Sunderland, (Haijawekwa wazi)
 Nordin Amrabat - Malaga, £6.1m
Adalberto Penaranda - Granada, (Haijawekwa wazi)
 Mario Suarez - Fiorentina, (Haijawekwa wazi)

Waliotoka
Abdoulaye Doucoure - Granada, (mkopo)
Diego Fabbrini - Birmingham, £1.5m Alessandro Diamanti - (mKopo Umesitishwa)
 Connor Smith - AFC Wimbledon, (Ameachwa) Uche Ikpeazu - Blackpool, (mkopo)
 Adalberto Penaranda - Granada, (Mkopo)

WEST BROMWICH ALBION 

Walioingia
Sandro - QPR, (Mkopo)
Alex Pritchard - Tottenham, (Mkopo)

Waliotoka
Anders Lindegaard - Preston, (Mkopo)
 Adil Nabi - Peterborough, (Haijawekwa wazi)

WEST HAM UNITED 

Walioingia
Sam Byram - Leeds, (Haijawekwa wazi) Emmanuel Emenike - Fenerbahce, (Mkopo)

 Waliotoka
Matt Jarvis - Norwich, £2.5m
Diego Poyet - Charlton, (Mkopo)
Mauro Zarate - Fiorentina, £1.6m
Lewis Page - Cambridge United
Elliott Lee - Colchester
Stephen Hendrie - Southend

No comments

Powered by Blogger.