SAMATTA AFUNGUA UKURASA WA MABAO ULAYA APIGA BAO LA USHINDI (ANGALIA GOLI LAKE HAPA)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta leo ameweka historia katika maisha yake ya soka baada ya kufunga bao lake La Kwanza barani ULAYA.
Samatta anayekipiga katika klabu ya Racing Genk inayoshiriki ligi kuu nchini Ubelgiji Aliingia dakika ya 79 katika mchezo ambao Genk ilishinda bao 3-2 wakiwafunga vinara wa ligi kuu nchini Ubelgiji Club Brudge.
Angalia balo la Mtanzania Mbwana Samatta hapa
Original Video - More videos at wapendasoka
Genk walipata mabao yao kupitia kwa Nikolos Karelis kwa njia ya penati, Thomas Buffel na Mbwana Samatta wakati mabao ya Brudge yalifungwa na Thomas Meuner na Hans Vanaken.
Kwa matokeo hayo Brudge wanaendelea kuongoza msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 58 sawa na Gent wanaokamata nafasi ya pili huku timu ya Mbwana Samatta ikishinda nafasi ya 5 na pointi 45.

No comments