EPL: ANGALIA MAGOLI YA MAN UTD VS ARSENAL NA SPURS VS SWANSEA (VIDEO HIGHLIGHTS)

Ligi kuu Uingereza imeendelea leo kwa kuzikutanisha timu za Manchester Unitedtd ilikuwa nyumbani kuwakabili Arsenal huku Totenham nao wakiwakiribisha Swansea City. Tumekuwekea hapa magoli ya mechi zote mbili.




Man UTD 3 - 2 Arsenal 


Waweza kusoma habari hii kwa undani kwa kuingia kwenye kiunga hiki.
RASHFORD AZIDI KUNG'AA APIA BAO 2 MAN UNITED IKIIFUNGA ARSENAL OLD TRAFFORD 
Mambo yamezidi kuondoka mshambuliaji chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford baada ya kufunga bao 2 katika ushindi wa bao 3-2 walioupata United dhidi ya Arsenal katika dimba la Old Trafford.




Totenham 2 - 1 Swansea City

No comments

Powered by Blogger.