KIPA "VETERANI" AWAPA KOMBE MAN CITY DHIDI YA LIVERPOOL
Manchester City ndiyo mabingwa wapya wa kombe la chama Cha soka nchini England maarufu kama CAPITAL ONE CUP katika mchezo wa fainali za kombe hilo katika dimba la Wembley jijini London.
City walitangulia kupata bao kupitia kwa Fernandinho baada ya makosa ya kipa wa Liverpool Simon Mignolet kushindwa kudaka mpira mwepesi wa Fernandinho huku Liverpool nao wakifanikiwa kusawazisha bao hilo kupitia kwa Philip Coutinho na kufanya mchezo huo kumalizika dakika 90 matokeo yakiwa ni sare 1-1
Dakika 30 zikaongezwa na bado mipango ilikua hafifu kwa timu hizo kupata bao ndipo ikaamriwa changamoto ya ya mikwaju ya penati ambapo Man City iliweza kushinda penati 3-1 na kutangazwa kuwa mabingwa wapya mwaka huu 2016
Shujaa wa mchezo huo alikua kipa wa Manchester City Willy Cabalero baada ya kudaka penati
Angalia highlights a mchezo huo

No comments