RASHFORD AZIDI KUNG'AA APIA BAO 2 MAN UNITED IKIIFUNGA ARSENAL OLD TRAFFORD
Mambo yamezidi kuondoka mshambuliaji chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford baada ya kufunga bao 2 katika ushindi wa bao 3-2 walioupata United dhidi ya Arsenal katika dimba la Old Trafford.
Rashford alifunga mabao mawili katikati ya wiki wakati United Waliposhinda bao 5-1 katika mchezo wa kombe la Europa league wakiifunga Midtjylland ya Denmark
Leo tena kijana huyu alifunga mabao mawili ya kwanza katika ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Arsenal huku akitengeneza bao la tatu kwa kutoa pasi iliyotumiwa vizuri na Ander Herrera aliyefunga bao hilo. Danny Welbeck na Mesuit Ozil walifunga mabao mawili ya Arsenal.
Manchester United iliyotumia wachezaji wengi vijana katika mechi hiyo baada ya kukabiliwa na majeruhi wengi wa kikosi cha Kwanza na kuweza kuwakabili vilivyo Arsenal ambao ndoto zao za ubingwa sasa zinazidi kufifia
Katika mechi nyingine Tottenham iliifunga Swansea City ba 2-1 na kuifanya timu hiyo kuzidi kuwapa presha Leicester City katika Mbio za ubingwa.

No comments