MAN UNITED YASIMAMISHA KUSAJILI MPAKA LVG AELEWEKE, RONALDINHO AKATAA KUSTAAFU SOKA, TORRES AKARIBIA KUONGOZA KWA MSHAHARA
Manchester United wamesimamisha mipango yao ya usajili mkubwa mpaka hapo watakapopata majaliwa ya kocha Louis van Gaal ambaye inasemekana anaweza kuondoka Old Trafford (Daily Mirror)
Wakala wa mshambuliaji Alexandre Pato amethibitisha kuwa vilabu vinne zikiwemo Liverpool na Chelsea zina nafasi ya kumsajili mteja wake lakini mpaka sasa hakuna klabu iliyoweka pesa inayotosha kumsajili mshambuliaji huyo Raia wa Brazil mwenye miaka 26.
(UOL Esporte, in Portuguese)
Wakati Manchester United wakisimamisha shughuli za usajili wa majina makubwa Old Trafford, Tottenham wametenga pesa ya kutaka kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Gareth Bale mwenye miaka 26 kama Real Madrid wataamua kumuuza.
(Daily Mirror)
Liverpool wametenga paundi milioni 24.5 kusaka saini ya kiungo mshambuliaji wa Shakhtar Donetsk wenye miaka 26 Alex Teixeira ambaye amekua akihusishwa sana kujiunga na Chelsea.
(BBC )
Mabingwa wa Russia Zenit St Petersburg wamemtaka kocha wa Manchester City manager Manuel Pellegrini kurithi nafasi ya Andre Villas-Boas ambaye ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.
(Daily Star)
Mlinzi wa Chelsea Branislav Ivanovic mwenye miaka 31 anatarajia kusaini mkataba wa mwaka mmoja ambao utambakiza na mshahara wake ule ule wa paundi 120,000 kwa wiki kukiwa pia na uwezekano wa kuongeza mwaka zaidi.
(Daily Express)
Wakati huo huo kiungo wa Chelsea Nemanja Matic mwenye miaka 27,bado haijajulikana mustakabali wake na watalamu wa mambo wanasema pengine kuna uwezekano akatimka (Daily Mail)
Muda si mrefu Fernando Torres mwenye mika 31 atakua mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani baada ya wakala wake kudai kuwa Kuna mikataba nane inamsubiri Torres kuchagua wakati huu akiwa anaichezea Atletico Madrid toka AC Milan
(Sun)
Crystal Palace wanataka kumpa mkataba wa miezi sita tu nahodha wa zamani wa Togo Emmanuel Adebayor mwenye miaka 31 ambaye ni mchezaji huru baada ya kuachwa na Tottenham Hotspurs.
(Guardian)
Kiungo wa zamani wa Brazil Ronaldinho mwenye miaka 35 amesema hana mpango wa kustaafu kucheza kandanda na atatafuta timu ya kujiunga nayo baada ya mwezi wa pili
(Goal.com)
Kocha wa Newcastle United Steve McClaren ametuma kiasi cha paundi milioni 7 kumnasa Bafetimbi Gomis mwenye miaka 30.

No comments