MADRID YAWATENGEA HAZARD, DE GEA, POGBA NA AGUERO PESA YA KUTOSHA
Tetesi za usajili wa wachezaji barani Ulaya zinazidi kushika kasi na Taarifa Ikufikie kwamba Klabu ya Real Madrid Imepanga kutumia paundi milioni 250 katika usajili wa Januari hii baada ya kufungiwa kusajili na UEFA kuanzia majira ya kiangazi.
Wachezaji waliowaweka katika mpango wa kuwasajili katika dirisha hili la usajili ni pamoja na winga wa Chelsea Eden Hazard mwenye miaka 25 mbaye ametengewa paundi milioni 80 kama ndiyo mchezaji wao wa kwanza kati ya wale wanaowataka.
Pia wamo kipa wa Manchester United David De Gea mwenye miaka 25, Kiungo wa Juventus Paul Pogba mwenye miaka 22 mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski mwenye miaka 27 pamoja na mshambuliaji wa Manchester City Sergio Kun Aguero mwenye miaka 27

No comments