KOMBE LA SHIRIKISHO : YANGA VS FRIENDS RANGERS

Hiki ndicho kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza katika mechi ya jioni hii ya kombe la Shirikisho nchini Tanzania katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.




WATAKAOANZA

1. Deogratius Munishi "Dida"
2. Salum Telela
3. Oscar Joshua
4. Pato Ngonyani.
5. Vicent Bossou.
6. Thaban Kamusoko
7. Saimon Msuva.
8. Haruna Niyonzima
9. Paul Nonga.
10. Matheo Anthony.
11.Issouff Boubakar .

WACHEZAJI WA AKIBA

Benedicto Tinnoco
Amiss Tambwe.
Deus Kaseke
Benito John.
Yusuph Mhilu.
Geofrey Mwashiuya
Kelvin Yondan


■ SOKA LETU | JAMII YETU ■

No comments

Powered by Blogger.