RATIBA YA MECHI ZA SOKA LEO JUMAPILI 24/01/2016 (BONGO NA ULAYA)

Baada ya kushuhudia Simba ikiibuka na ushindi katika mechi yake ya kwanza katika kombe la Shirikisho nchini Tanzania leo watani zao Yanga watakua uwanja wa Taifa kuikabili Friends Rangers wakati huko England leo hapatoshi Arsenal vs Chelsea. 

Tumekuandalia Ratiba kamili ya mechi hizi za leo katika Soka kwa saa za hapa Afrika Mashariki


★Kombe la Shirikisho Tanzania

04:30 Young Africans vs Friends Rangers
04:30 Njombe Mji vs Tanzania Prisons
04:30 Stand United vs Mwadui FC

★Barclays Premier League

4:30 PM - Everton vs Swansea City
7:00 PM - Arsenal vs Chelsea

★Spanish Primera División

2:00 PM - Athletic Bilbao vs Eibar
6:00 PM - Atletico Madrid vs Sevilla FC
8:15 PM - Deportivo La Coruña vs Valencia
10:30 PM - Real Betis vs Real Madrid

★German Bundesliga

5:30 PM - Eintracht Frankfurt vs VfL Wolfsburg
7:30 PM - Schalke 04 vs Werder Bremen

★Italian Serie A

2:30 PM - Fiorentina vs Torino
5:00 PM - Hellas Verona vs Genoa
5:00 PM - Internazionale vs Carpi
5:00 PM - Lazio vs Chievo Verona
5:00 PM - Palermo vs Udinese
5:00 PM - Sampdoria vs Napoli
5:00 PM - Sassuolo vs Bologna
10:45 PM - Juventus vs AS Roma

★French Ligue 1

4:00 PM - AS Monaco vs Toulouse
7:00 PM - Stade de Reims vs St Etienne
11:00 PM - Lyon vs Marseille

~SOKA LETU|JAMII YETU

No comments

Powered by Blogger.