EPL: ANGALIA VIDEO ZA MAGOLI KWA MECHI ZA JANA (LIVERPOOL VS MAN UTD, STOKE CTY VS ARSENAL)
Ligi kuu nchini Uingereza iliendelea jana kwa kuzikutanisha timu za Liverpool iliyokuwa nyumbani kuwakaribisha mahasimu wao wa muda wote timu ya Man UTD. Timu hizo zilicheza majira ya saa kumi na moja na kufuatia mchezo wa Arsenal walio kileleni mwa ligi hiyo ambao walikuwa ugenini kuwakabiri Stoke Cty katika uwanja wa Britania.
Soma hapa kupata undani wa mechi ya liverpool na Man Utd
Angalia video fupi za mechi hizo hapa chini
Liverpool 0 - 1 Man utd
Stoke Cty 0 - 0 Arsenal
Angalia video fupi za mechi hizo hapa chini
Liverpool 0 - 1 Man utd
Stoke Cty 0 - 0 Arsenal
No comments