BAADA YA SARE NA VALENCIA, BARCELONA KUJIULIZA KWA SUPA DEPO LEO
Vinara wa ligi ya Spain na mabingwa watetezi wa ligi hiyo klabu ya Barcelona leo watakua nyumbani Nou Camp kuwakaribisha Deportivo la Coruna katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Spain La Liga.
Barcelona wataingia katika mchezo wa leo wakiwa na kumbukumbu ya sare ya bao 1-1 waliyoipata ugenini dhidi ya Valencia na ushindi pekee ndicho kilichopo katika mawazo ya nyota hao ili kuendelea kuweka wigo wa pointi baina yao na wanaowafatia.
Barcelona wanapointi 34 wakiwa ndiyo vinara wa ligi hiyo wakifatiwa na Atletico Madrid walio katika nafasi ya pili na pointi 32 wakati Deportivo wao wanakamata nafasi ya 6 wakiwa na pointi 22.
20:15. Celta Vigo vs Espanyol
20:15. Levante vs Granada
22:30. Sevilla vs Sporting Gijon

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA LEO - LA LIGA
18:00. Barcelona vs Deportivo la Coruna20:15. Celta Vigo vs Espanyol
20:15. Levante vs Granada
22:30. Sevilla vs Sporting Gijon
No comments