ZANZIBAR HEROES YAKUBALI TENA KIPIGO SASA HATIHATI

Timu ya taifa ya Tanzania kisiwani Zanzibar heroes imekubali kipigo cha goli  4 – 0 kutoka kwa Ugandaa katika michuano ya Challenge


Mapema leo Zanzibar Heroes imekubali tena kufungwa na Uganda na kuwa kipigo chake cha pili baada ya kuanza michuano hiyo kwa kufungwa bao 1-0 na Burundi.

Dakika 90 ziliisha kwa Zanzibar kukubali kipigo hicho, Zanzibar inaomba miujiza ili iendelee hatua ya robo fainali kama best looser

No comments

Powered by Blogger.