KILIMANJARO STARS YAENDELEZA DOZI ETHIOPIA

Timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars imeendelea kugawa dozi baada ya kuichapa Rwanda bao 2-1 katika michuano ya Challenge
Kilimanjaro Stars inayofundishwa na Abdallah Kibadeni ilipata magoli yake mawili kupitia kwa Said Ndemla na Simon msuva

Kilimanjaro stars imekuwa team ya kwanza kujihakikishia nafasi katika Hatua za robo fainail

No comments

Powered by Blogger.