MATOKEO EPL: LIVERPOOL YAPETA, SPURS NA CHELSEA HAKUNA MBABE, ARSENAL YAVUTWA SHATI (+VIDEO)
Ligi kuu ya Uingereza leo jumapili imeendelea tena kwa michezo minne ambapo Totenham walikuwa nyumbani kuwakaribisha Chelsea, Westham nao waliwakaribisha Westbrom, pia Liverpool walikuwa Anfield kuwakabili Swansea na Arsenal walisafiri mpaka viunga vya Carrow Rd, kuwakabili wenyeji Wao Norwich.
Maokeo ya michezo hiyo ni kama ifuatavyo
Video ya Mechi ya Norwich VS Arsenal
Video ya Liverpool VS Swansea

29/11/2015
Video ya Mechi ya Norwich VS Arsenal
Video ya Liverpool VS Swansea
No comments