LIVERPOOL KIDUME, YAICHAPA MAN CTY GOLI 4 KWA 1 ETIHAD (VIDEO YA MAGOLI)
Mchezo wa Ligi kuu ya Uingereza umemalizika kwa kushuhudia Liverpool ikiinyanyasa Man City kwa kuifunga goli 4 kwa 1. Mchezo huo ulikuwa ukichezwa katika uwanja wa Nyumbani wa Man Cty Etihad, umeiacha Man Cty ikiwa Nafasi ya 3 nyuma ya Man UTD yenye pointi 27 iliyonafasi ya pili huku Leicester Cty wakiongoza Ligi kwa pointi 28
Liverpool ilijipatia magoli yake kupitia kwa E Mangala (7 og),P Coutinho (23),R Firmino (32),M Skrtel (81) huku lile la Man Cty likifungwa na Kun Aguero dakika ya 44.
Angalia Magoli yote ya mechi hiyo hapa

No comments