EL CLASICO : BARCELONA YAISHUSHIA MVUA YA MAGOLI REAL MADRID

Huwezi amini lakini ndivyo ilivyotokea Real Madrid akiwa nyumbani Santiago Bernabeu huku ikisheheni nyota wake wote akiwemo Cristiano Ronaldo imeambulia kipigo cha bao 4-0 toka kwa Barcelona.

Luis Suarez alifunga magoli mawili, Neymar na Iniesta wakafunga goli moja moja katika ushindi huo mkubwa kabisa kwa Barcelona dhidi ya wapinzani wao wa jadi Real Madrid na kuifanya timu hiyo ya Catalunya kuzidisha wigo wa pointi mpaka 6 katika uongozi wa ligi hiyo ya Spain.
Magoli ya Suarez leo yamemfanya kufikisha magoli 15 msimu huu

No comments

Powered by Blogger.