LOW ATAJA KIKOSI CHA UJERUMANI WAMO EMRE CAN, SCHWEINSTEIGER NA PODOLSKI
Kiungo wa Liverpool Emre Can ameitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani ambani mabingwa wa dunia kujiandaa na mechi za kufuzu fainali za Euro 2016 dhidi ya Poland na Scotland.
Kocha Joachim Low amewajumuisha pia kiungo mpya Man united Satian Schweinsteiger na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Lukas Podolski ambaye anakipiga katika klabu ya Galatasaray ya Uturuki.
Ujerumani inashika nafasi ya pili katika Kundi D ikiwa ni pointi moja nyuma ya Poland wanaoongoza na timu hizo ziakutana Septemba 4 na siku tatu baadae watasafiri kuifata Scotland
Germany squad in full:
Goalkeepers:
Manuel Neuer (Bayern Munich), Marc-Andre Ter Stegen (Barcelona), Ron-Robert Zieler (Hannover 96)
Defenders:
Jerome Boateng (Bayern Munich), Jonas Hector (FC Koln), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Matthias Ginter (Borussia Dortmund), Shkodran Mustafi (Valencia), Sebastien Rudy (Hoffenheim)
Midfielders:
Karim Bellarabi (Bayer Leverkusen), Emre Can (Liverpool), Ilkay Gundogan (Borussia Dortmund), Christoph Kramer (Bayer Leverkusen), Toni Kroos (Real Madrid), Mesut Ozil (Arsenal), Marco Reus (Borussia Dortmund), Bastian Schweinsteiger (Manchester United)
Forwards: Mario Gotze (Bayern Munich), Max Kruse (Wolfsburg), Thomas Muller (Bayern Munich), Lukas Podolski (Galatasaray), Andre Schurrle (Wolfsburg), Kevin Volland (Hoffenheim)
No comments