EUROPA LEAGUE : LIVERPOOL NA TOTTENHAM WAPANGIWA MAKUNDI


Majogoo wa jiji Liverpool wamepangwa kukutana na Rubin Kazan ya Russia, Bordeaux ya Ufaransa  na FC Sion ya Uswis katika ratiba ya makundi ya ligi ya Europa 

Makundi 12 yamepangwa kila kundi likiwa na timu 4 ambazo zitacheza mechi 6 kila moja na washindi wawili wa kila kundi watatinga katika hatua inayofata huku mechi za awali zikipangwa kuchezwa tarehe 17 mwezi ujao

HAYA NDIYO MAKUNDI YALIVYOPANGWA


Group A:
 Ajax, Celtic , Fenerbahce, Molde
Group B:
 Rubin Kazan, Liverpool, Bordeaux, FC Sion
Group C: 
Borussia Dortmund, Paok Thessaloniki, Krasnodar, Gabala
Group D; 
Napoli, Club Brugge, Legia Warsaw, Midtjyllland
Group E:
 Villarreal, Viktoria Plzen, Rapid Vienna, Dinamo Minsk
Group F: 
Marseille, Braga, Slovan Liberec, Groningen
Group G: 
Dnipropetrovsk, Lazio, St-Etienne, Rosenborg
Group H:
 Sporting Lisbon, Besiktas, Lokomotiv Moscow, Skenderbeu
Group I: 
Basel, Fiorentina, Lech Poznan, Belenenses
Group J: 
Tottenham, Anderlecht, Monaco, Qarabag
Group K: 
Schalke, Apoel Nicosia, Sparta Prague, Asteras Tripolis
Group L: 
Athletic Bilbao, AZ Alkmaar, Augsburg, Partizan Belgrade

No comments

Powered by Blogger.