RASMI: YANGA KUFUNGUA MICHUANO YA CECAFA NA GOR MAHIA YA KENYA
Shirikisho la soka katika ukanda wa Afrika Mashariki CECAFA leo makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya Kaga limetoa me 2015 ambayo inatarajiwa kufanyika hapa Tanzania kuanzia Julai 17 mpaka Agosti 2.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa shirikisho hilo Leodigard Tenga ameishukuru TFF kwa kukukbali kuandaa mashindano ya mwaka huu. Pamoja na serikali akisema kuwa hakuna jambo lolote laweza kufanyika bila support ya serikali
Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Nicolous Musonye yeye alitaja Makundi ya michuani hiyo
Kundi A,
Yanga SC (Tanzania) Gor Hahia (kenya), Telecom (djibout), Kmkm(zanzibar) na Khartoum al saalah (sudan)Kundi B.
APR (Rwanda), Al ahly Shandy (Sudan), Idya Academica (Burundi) na Elman (somalia)Kundi C.
Azam FC (Tanzania), Marakkia (Sudan kusini), KCC (uganda ) na Adama (Ethiopia)Michuano hiyo itaanza Rasmi tarehe 17 Mwezi Huu kwa pambano kati ya wenyeji Yanga SC dhidi ya Gor Mahia ya Kenya
CECAFA itajitahidi kuondoa changamoto zote zilizojitokeza nyuma ikiwemo usumbufu kwa waandishi wa habari
No comments