OKWI MAMBO SAFI ULAYA, SIMBA YAPATA PESA ZA HATARI


Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda na klabu ya Simba Emmanuel Okwi amefuzu vipimo vya afya na kusajiliwa na timu ya SonderjyskE Fodbold ya Dernmark


Taarifa kutoka kwa mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hans Pope zinasema kuwa Simba wamepata pesa ya nyingi kutokana na mauzo ya mchezaji huyo ambaye ni kipenzi cha mashabiki wa Simba.

KILA LA HERI OKWI

No comments

Powered by Blogger.