TAIFA STARS VS MALAWI LEO
... Mpambano wa mechi ya kimataifa ya kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) linatarajia kupigwa jioni ya leo jijini mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba
Taifa Stars inayokamata nafasi ya 100 katika viwango vya Soka vilivyotolewa na FIFA mwezi uliopita itawaalika Malawi walio katika nafasi ya 91.
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
MAKIPA
Deo Munishi ‘Dida’ (Yanga SC,)Aishi Manula (Azam FC)
Mwadini Ali (Azam FC)
MABEKI
Shomari Kapombe (Azam FC)Erasto Nyoni (Azam FC)
Aggrey Morris (Azam FC)
Mwinyi Haji (KMKM)
Salim Mbonde (Mtibwa Sugar),
Kelvin Yondani (Yanga)
Nadir Haroub (Yanga)
Oscar Joshua (Yanga),
Abdi Banda (Simba)
Hassan Isihaka (Simba SC).
VIUNGO
Frank Domayo (Azam FC)Salum Abubakar (Azam FC)
Amri Kiemba (Azam FC)
Mcha Khamis (Azam FC),
Hassan Dilunga (Yanga),
Said Ndemla (Simba),
Haroun Chanongo (Stand United).
Mwinyi Kazimoto (Al Markhiry - Qatar),
WASHAMBULIAJI
Simon Msuva (Yanga)Mrisho Ngassa (Yanga),
John Bocco (Azam FC)
Juma Luizio (Zesco United - Zambia)
Mbwana Samata (TP Mazembe)
Thomas Ulimwengu (TP Mazembe)

No comments