LIGI YA MABINGWA ULAYA ~ LIVERPOOL IMESHAPIGWA 3-0 MPAKA SASA.


Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea katika viwanja vinane Usiku huu.
Mpaka sasa ikiwa ni mapumziko hali imeshakua ngumu kwa baadhi ya vilabu.



Liverpool wakiwa Nyumbani wameshapigwa bao 3-0 mpaka sasa toka kwa mabingwa watetezi Real Madrid. Magoli ya Real Madrid yakiwekwa kimiani na Cristiano Ronaldo na magoli mawili ya Karim Benzema yanawafanya mabingwa hao watetezi kuongoza kwa goli hizo 3-0 mpaka timu zikienda mapumziko ikiwa ni mechi ya kundi B.

Katika mechi zingine zinazoendelea hivi sasa na zote zikiwa ni mapumziko Matokeo yake yako kama ifuatavyo:-

Olympiacos 1-0 Juventus
Atletico Madrid 0-0 Malmo
Ludogorets 0-0 Basel
Leverkusen 0-0 Zenit
Monaco 0-0 Benfica
Anderletch 0-0 Arsenal
Galatasaray 0-3 Dortmund

××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××

No comments

Powered by Blogger.