LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO - RONALDO NA REKODI ZAKE
Baada ya jana kushuhudiwa magoli 40 yakifungwa katika Usiku wa Ulaya,mechi hizo zitaendelea leo kwa mechi 8 kupigwa katika miji kadhaa barani Ulaya huku Wapenda Soka duniani wakifurahia burudani hiyo kupitia miTandao mbalimbali.
Mechi kubwa ya kutoikosa leo ni ile ya mabingwa watetezi Real Madrid watakapoikabili Liverpool katika uwanja wa Anfield. Baada ya Messi kufunga jana leo macho yako kwa mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo ambaye ameanza vyema mno msimu huu baada ya kufunga magoli 15 katika mechi 8 tu za La Liga.
Ronaldo pia anafukuzia kuvunja Rekodi ya kufunga mabao mengi.
Arsenal wao ambao hawana mafanikio makubwa katika michuano hiyo watakua ugenini kucheza na Anderletch ya Ugiriki mchezo ambao hautabiriki kwani Anderletch wanakamata mkia katika kundi D wakiwa na pointi moja sawa na Galatasaray na matokeo mazuri kwao itakua ni tiketi ya kujihakikishia kuvuka raundi hii.
RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE ZA LEO
GROUP A
9:45 PM - Atletico Madrid vs Malmo FF9:45 PM - Olympiakos vs Juventus
GROUP B
9:45 PM - Liverpool vs Real Madrid9:45 PM - Ludogorets Razgrad vs FC Basel
GROUP C
9:45 PM - AS Monaco vs Benfica9:45 PM - Bayer Leverkusen vs Zenit St Petersburg
GROUP D
9:45 PM - Anderlecht vs Arsenal9:45 PM - Galatasaray vs Borussia Dortmund
××××××××××××××××××××××××
No comments