SUAREZ ATOSWA BALLON D'OR
Jumla ya wachezaji 23 wamechaguliwa kuingia katika mchujo wa kuwania tuzo ya
mchezaji bora wa dunia wa FlFA maarufu kama Ballon d'Or mwaka 2014.
Wachezaji watatu kati ya hao 23 watapatikana katika mchujo utakaofanyika mwezi Disemba na mshindi wa Tuzo hizo maarufu kabisa katika upande wa Soka atapatikana Januari 12, 2015
Katika orodha hiyo ya Wachezaji 23 hajatajwa mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez ambaye alikua mfungaji bora wa Ligi kuu Nchini England akiwa na Liverpool.
Orodha Kamili:
- Gareth Bale (Wales, Real Madrid),
- Karim Benzema (France, Real Madrid),
- Diego Costa (Spain,Chelsea),
- Thibaut Courtois (Belgium, Chelsea),
- Cristiano Ronaldo (Portugal, Real Madrid),
- Angel Di Maria (Argentina,Manchester United),
- Mario Gotze (Germany, Bayern Munich),
- Eden Hazard (Belgium, Chelsea),
- Zlatan Ibrahimovic (Sweden, Paris St-Germain),
- Andres Iniesta (Spain, Barcelona),
- Toni Kroos (Germany, Real Madrid),
- Philipp Lahm (Germany, Bayern Munich),
- Javier Mascherano (Argentina, Barcelona),
- Lionel Messi (Argentina, Barcelona),
- Thomas Muller (Germany, Bayern Munich),
- Manuel Neuer (Germany, Bayern Munich),
- Neymar (Brazil, Barcelona),
- Paul Pogba (France, Juventus),
- Sergio Ramos (Spain, Real Madrid),
- Arjen Robben (Netherlands, Bayern Munich),
- James Rodriguez (Colombia, Real Madrid)
- Bastian Schweinsteiger (Germany, Bayern Munich),
- Yaya Toure (Ivory Coast, Manchester City).
No comments